Ascendents.net Ascendents.net Next >   

Rip Dr remmy ongala kwa yesu kuna furaha
- Remy J-sean -


Aiseee hyu baba mungu amuweke mahar pema pepon
- Faraja Msafilinawapata ilivyo -


Pia nyimbo ya Godwin Ombeni "Nishike mkono"
- Prayson Mmbaga -


Cosma Chidumule a worship song "Nataka kufanana na wee Yesu"
- Prayson Mmbaga -


Gospel music Kama mwanisikia tafadhali ni ombi langu, kwanza hongereni sana kwa huduma hii ya kutufikishia tuvitafutavyo kwa ugumu saaaaana... Mungu awabariki.
Nina wimbo wake Cosmas Chidumule unaitwa "Nataka kufanana na wewe Yesu" jamani nimekutafuta sana nisaidieni
- Prayson Mmbaga -


Kwa yesu kuna furaha rest in peace REMMY
- Vumilia Mwangasa -


Mungu hutazama mwisho,hongera
- Winifrida Zabroni -


Haleluyaa
- Augustine Mosha -


Nipe mwisho mwema Mungu wangu maana mwisho ndio kila kitu
- lizzy nkifu -


ivi aliokoka, manake ukiusikiliza ule wimbo wake WEMA, uwezi kudhan kama ndo alie imba huu hapa
- mkush platnam -


Vita umevipiga mwendo umeumaliza Baba hakika kwa Yesu kunafuraha
- Consolata Medard -


Kuna mtu anaweza kukutibu bure!!!!!! Huyo Ni YESU mwenyewe
- Liberatus Manase -


Ni kweli kabisa!Kwa YESU kuna furaha na amani!!R.i.p dr. Remmy!
- david david -


Hakika mwendo umeumaliza vyema,,,R.I.P Dk.Remmy Ongala 😭😭😭
- James Mzaak -


Ni vyema na haki....kwa yesu kuna furaha.
- Laban Walloga -


nimetiririkwa na machozi...kifo hakina huruma kweli.
- benard odhiambo -


Remmy ongala nice song
- Johnny SVNO -


rest in peace
- Godfrey Moses -


Kweli nifuraha sana Man of God Baba nime jifunza mejifunza siri kubwa kama mwana Muziki wa Gospel Music
- Isaac A. Lufungulo -


Kwa kwel kuna furaha kwa Yesu wetu
- Jane Mlambo -