Barikiwa sana Solomon naipenda sana hii nyimbo na ninaisikiliza hadi sasa
- Frenk Maiko -
True
- Job Astua -
Na Mimi pia naingojea siku hio!nitamlaki Kwa Neema yake kubwa aliyo nipa
- NDATOYE Aspert -
May God bless you, man of God. You are a vessel that God uses to change people’s lives. Keep it up
- Fidele Mighty -
Njombe uvik anjo
- Nuru Mdola -
Wimbo hüu ni injili tosha yenye uvuvio ndani take, Mungu akubariki kaka
- DORAH MZIRAY -
Nimefanywa mpya na wimbo huu-Mungu akubariki.
- Leah Mgunda -
Amen
- Beatrice Bless -
Your song blessed my heart brother Solomon ♥
- Jeff Jose -
Njoni kwa yesu anaokoa mkubali tu upate wokovu uepuke moto wa milele
- Dorcas Mabina -
Ubarikiwe sana
- BAUDUNE KWIZERA -
More fire am telling you
- mbachuki mochu -
Thank-you Solomon you always inspire me
- Georgetta Mukala -
mungu akutende mema unabariki watu wa mungu
- Jentrix Maunda -
Kila nikisikiliza wimbo huu najikuta kiwango cha Imani yangu kinaongezeka kwa nguvu maana najikuta nalia nikiomba Rehema kwa Mungu wangu ubarikiwe sana Solomoni Mkubwa
- Ikupa Mwaisoba -
Bwana atusaidie sana tutambue kuwa hizi ni siku za mwisho na dunia hii itapita
- Hyline Nyakweba -
Ujiulize sasa: utakua wapi?
- Zawadi nyankunde -
I remember also my friend did but for me,but through this it motivate.
- JEREMY G -
Akika mimi ni mkenya but nyimbo zenu watanzania unibariki mno.
- Elick Nyaga Nyaga -
Mungu awatangulie watu wake katika Safari hii ngumu
- Richard Chota -